yanga
Advertisement
UPDATES : UZINDUZI WA UJENZI WA YANGA SC
"Hichi kikao cha leo ndio kikao chetu cha mwisho cha maamuzi na Ijumaa baada ya mechi yetu na Dodoma JIJI FC tutafanya uzinduzi rasmi pamoja na zoezi kutia saini, Rais wetu Eng. Hersi amependekeza zoezi hilo lifanyike hapa Jangwani utakapojengwa Uwanja wetu."
"Boss wetu GSM amesisitiza leo kwenye kikao kuwa jambo hili la ujenzi wa uwanja likimbie kama mwanariadha Kipchoge."
"Uwanja wetu huu ambao unajengwa hapa Jangwani kwa ubora nadhani kwa Afrika uwanja wetu utaungana na uwanja wa Taifa wa Morocco ndio unaweza kuuweka kwenye daraja moja, Huu uwanja wetu una standard zote za Kimataifa."
🗣️ Ali kamwe - Afisa habari wa klab ya @yangasc

Where is it happening?
Mchafukoge, Dar es Salaam, Tanzania
Event Location & Nearby Stays:
Know what’s Happening Next — before everyone else does.
Host or PublisherMinganho Sports