VISIT KIGOMA

Schedule

Sun, 21 Jun, 2026 at 04:00 pm to Sat, 27 Jun, 2026 at 05:00 pm

UTC+03:00

Location

Kisutu, Dar es Salaam | Dar Es Salaam, DS

Advertisement
KARIBU KIGOMA – FURSA KILA KONA
Kusafiri na treni kwenda kigoma ni zaidi ya utalii.
Ni fursa ya kipekee ya kuona mandhari nzuri ya Tanzania, kuutambua uoto wa asili, kuona mbuga za wanyama, na pia kufurahia muda mzuri,hadithi na chakula mkiwa ndani ya treni, pamoja na huduma za afya zinazopatikana ndani ya treni.
Usafiri huu umepangwa kwa kuzingatia ratiba rasmi, ukiwa na mpangilio mzuri kulingana na aina nyingine za usafiri, kuhakikisha safari yako ni salama, rahisi na yenye starehe.
Hata hivyo, kuna watu wengi hadi sasa ambao hawajawahi kupanda treni kwenda kigoma.
Mwaka huu safiri nasi katika safari yetu ya visit kigoma.
Hii ni safari mahsusi kwa watu wanaopenda kutalii kwa lengo la kuelimika, kutafuta fursa mpya, kufanya biashara na kuwekeza ndani ya Tanzania.
Safari hii inakuhusu moja kwa moja ikiwa unaamini kuwa
kusafiri si starehe tu, bali ni fursa ya kuburudika, kujifunza, kujenga mtandao,mahusiano na kuona fursa mpya zinazoweza kubadili maisha yako na jamii kwa ujumla.
Twenzetu Kigoma,Mkoa ambao una:
Ardhi yenye rutuba
Historia adhimu
Biashara zinazokua kwa kasi
Fursa nyingi ambazo wengi bado hawajaziona
Safari itakua ya siku 7 kama ifuatavyo;
Kuondoka: 21/06/2026
Kurudi: 27/06/2026
Safari itaanzia: Dar es Salaam
Andaa Tsh 580,000 tu
Gharama hii inahusisha:
✅️ Nauli ya kwenda na kurudi
✅️ Malazi
✅️ Chakula, vinywaji & burudani
✅️ Ziara ya Gombe National Park
✅️ Makumbusho ya Dr. Livingstone
✅️ Mwaloni wa Kibirizi
✅️ Ruanda Mashambani
✅️Soko la Sabuni SIDO
✅️ Soko la BuzeBazeba
✅️Ziara ya Kambi ya Wakimbizi
Faida utakazopata ukiwa kwenye safari hii:
💥 Kukutana na watu wenye akili ya utafutaji na uwekezaji
💥 Kujifunza na kuona fursa za Kigoma moja kwa moja, sio kwa kusimuliwa
💥 Kupata mawazo mapya ya miradi, biashara na uwekezaji
💥 Kupata mwelekeo mpya wa maisha
💥Kujenga mahusiano mapya ya urafiki, undugu, ujamaa, na hata mwenza wa maisha
💥 Kuona ardhi, masoko, historia na maisha halisi ya mkoa wa Kigoma
Na kubwa zaidi kupitia safari hii utapata mwamko wa akili (mental shift).
Kwa Ushiriki & Udhamini:
Visit Kigoma
📲 0746 465 095
📲 0693 537 327
Karibu Kigoma huku kuna fursa kila kona. 💥
#VISITKIGOMA
#fursakilakona
#mwishowarelimwanz
Advertisement

Where is it happening?

Kisutu, Dar es Salaam, Tanzania

Event Location & Nearby Stays:

Icon
Know what’s Happening Next — before everyone else does.
Visit Kigoma

Host or Publisher Visit Kigoma

Ask AI if this event suits you:

Discover More Events in Dar Es Salaam

TANZANIA TRADE FAIR EXPO CONFERENCE 2026
Mon, 22 Jun at 08:00 am TANZANIA TRADE FAIR EXPO CONFERENCE 2026

Diamond Jubilee Upanga

BUSINESS EXHIBITIONS
Welcome TANZANIA TRADE FAIR EXPO CONFERENCE 2026.
Mon, 22 Jun at 08:00 am Welcome TANZANIA TRADE FAIR EXPO CONFERENCE 2026.

Diamond Jubilee Upanga

BUSINESS CONFERENCES
Mv33
Thu, 25 Jun at 01:00 am Mv33

Dar Es Salaam City---Tanzania

6 days safari in mukumi and nyerere national parks
Wed, 01 Jul at 06:00 am 6 days safari in mukumi and nyerere national parks

Dar es Salaam Airport

Tanzania Wilderness Survival Challenge
Thu, 28 May at 04:00 pm Tanzania Wilderness Survival Challenge

Kisutu, Dar es Salaam

CONTESTS
VISIT KIGOMA
Sun, 21 Jun at 04:00 pm VISIT KIGOMA

Kisutu, Dar es Salaam

6 days safari in mukumi and nyerere national parks
Wed, 01 Jul at 06:00 am 6 days safari in mukumi and nyerere national parks

Dar es Salaam Airport

3 Days Trakking Mount Meru
Wed, 01 Jul at 07:00 am 3 Days Trakking Mount Meru

Arusha Tanzania

TRIPS-ADVENTURES TREKKING

What's Happening Next in Dar Es Salaam?

Discover Dar Es Salaam Events