THANKS GIVING SERVICE WITH LIVE PERFOMANCE
Schedule
Sun, 31 May, 2026 at 10:00 am
UTC+03:00Location
Kisutu, Dar es Salaam | Dar Es Salaam, DS
Advertisement
Tunawashukuru Nyote Mliosimama kufanikisha live recording ya Bwana ni mtu wa vita iliyofanyika May 31-024 CHIMWAGA UDOM
Mungu awabariki Sana Hatuna Chakuwalipa.
Karibu Muungane Nasi katika ibaada ya Shukurani itakayo Ambatana na live perfomance hapo Jumamosi 7June 025
Tutakua na vikundi kadhaa vya uimbaji ikiwemo
Social praise team na Social Kwaya Kuu
Mda ni saamoja na nusu
Zaburi 150,,
Exodus 15:3
Advertisement
Where is it happening?
Kisutu, Dar es Salaam, TanzaniaEvent Location & Nearby Stays:
Know what’s Happening Next — before everyone else does.



