SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Schedule

Mon, 03 Aug, 2026 at 10:00 am

UTC+03:00
Location

Kisutu, Dar es Salaam | Dar Es Salaam, DS

Advertisement
🌸✨ Siku ya Wanawake Duniani 2026 ✨🌸
Mwanamke ni nguzo ya familia, jamii na taifa.
Ni wakati wetu kusimama, kuungana na kusherehekea nguvu, uthubutu na mchango wa mwanamke katika dunia ya leo.
📅 08/03/2026
📍 Suma JKT Uhuru Hall – Mwenge
⏰ Saa nne asubuhi
👗 Dress Code: Kitenge (Njoo uangaze kwa urembo wa asili!)
Hii si sherehe tu… ni jukwaa la kuhamasishana, kujifunza, kupeana motisha na kuinukana kiuchumi na kijamii.
Kila mwanamke ana ndoto.
Kila mwanamke ana thamani.
Kila mwanamke ana nguvu ya kubadilisha dunia. 💪🏾💖
Usikose kuwa sehemu ya siku hii ya kipekee.
Njoo tujenge mtandao, tushirikishane uzoefu na tusherehekee UANAMKE kwa fahari!
📞 Kwa mawasiliano: 0755647862
👩🏾‍💼 Maadam zay..
#SikuYaWanawakeDuniani
#MwanamkeNiNguvu
#WanawakeTunaweza
#KitengeDay
#InukaMwanamke
Advertisement

Where is it happening?

Kisutu, Dar es Salaam, Tanzania

Event Location & Nearby Stays:

Know what’s Happening Next — before everyone else does.
Fursa na Uhuru wa Kifedha
Host or PublisherFursa na Uhuru wa Kifedha

Ask AI if this event suits you