IJUE NYOTA YAKO CLASS
Schedule
Thu, 02 Jan, 2025 at 03:00 pm
UTC+03:00Location
Kisutu, Dar es Salaam | Dar Es Salaam, DS
Advertisement
DARASA LA IJUE NYOTA NA HATMA YAKOKuanzia: 02/01/2025
Ada: Tsh. 20,000/-
Karibu kwenye darasa Astrolojia ili ujifunze mambo muhimu usiyoyajua kuhusu nyota yako na jinsi ilivyo na uhusiano na hatma ya maisha yako. Katika darasa hili linaloanza tarehe 02 mpaka 22 January, 2025 itafundishwa kwa undani kuishi kulingana na nyota yako inavyotaka ili usifanye makosa ya kujirudia mwaka mpya wa 2025.
Watu wanaodhani wamerogwa nakuhangaika maeneo mbalimbali, wala hawajarogwa ila wanajiroga kwa aidha kunajisi nyota zao au kuruhusu watu wengine wachafue nyota zao kwa kushirikiana na watu wasiofaa au mahusiano ya kimapenzi na watu wasiotakiwa kuwa nao.
Ada ya darasa hili la WhatsApp ni shilingi elfu 20 na utapatiwa pia vitabu viwili vya IJUE NYOTA YAKO na FUNGUA JICHO LA TATU.
Lipia kwa M-PESA 0755734089 kisha tuma message WhatsApp kuthibitisha muamala.
Bonyeza link ya kujiunga na group hapo chini lakini hutahisishwa mpaka ulipie ada yako.
Mwl. Mponji D.K.
Astrology Daily
Advertisement
Where is it happening?
Kisutu, Dar es Salaam, TanzaniaEvent Location & Nearby Stays: