48hr nonstop vibe
Schedule
Sat Dec 28 2024 at 08:00 am to 09:00 am
UTC+03:00Location
Kigamboni apartment na yatch mpaka Mbudya! ๐ | Dar Es Salaam, DS
KARIBU 48HR NONSTOP VIBE litakalofanyika DESEMBA 28-29 Kigamboni apartment na safari ya YACHT kuelekea Mbudya! ๐ Hii ni zaidi ya trip & adventure ni nafasi ya kufurahia burudani ya SIKU MBILI BILA KIKOMOโ chakula (food) thanksgiving๐ฒ vinywaji (drinks)๐น MZIKI (parties)๐ถ SWIMMING ๐โโ๏ธ michezo mbalimbali kama gaming. dance. Performance. Sports nkโฆ. Pia usiku tutakuwa na theatre naย Supplies KIBAO! ๐ธ๐ค
Where is it happening?
Kigamboni apartment na yatch mpaka Mbudya! ๐, Dar es salaam, TanzaniaEvent Location & Nearby Stays: