IBADA YA TAFUTA

Schedule

Fri Oct 04 2024 at 06:00 pm to 11:00 pm

UTC+03:00

Location

Mbezi Beach, Mbezi Garden | Dar Es Salaam, DS

Advertisement
KARIBU KATIKA IBADA YA “TAFUTA.”
Ni wakati wa kurejesha mahusiano sahihi kati ya mtu na Mungu wake kupitia Ibada.
Ni tarehe 4 Oktoba 2024 Mbezi Garden, Mbezi Beach, Dar es Salaam ambapo Mtumishi wa Mungu @christinemlingi wa Kanisa la @faithvictoryinternational na Watumishi wengine watatuongoza katika Ibada hii maalumu.
Ibada ya Sifa na Kuabudu itaongozwa na @tabernacleofpraisetz pamoja na @minister_emmycharles @microenock @mirambepera na Watumishi wengine wengi.
Usipange kukosa ibada hii muhimu sana itakayohusisha pia Neno la Mungu, Maombi na Maombezi.
Tafadhali, mjulishe ndugu, jamaa na rafiki yako na hakikisha unakuja na mtu mwingine katika ibada hii. Mungu akubariki
#tafuta #ibada #maombi #maombezi #faithvictoryinternational
Advertisement

Where is it happening?

Mbezi Beach, Mbezi Garden, Dar Es Salaam, Tanzania

Event Location & Nearby Stays:

Faith Victory International Church

Host or Publisher Faith Victory International Church

It's more fun with friends. Share with friends

Discover More Events in Dar Es Salaam

Utu Kwanza Run
Sun Oct 06 2024 at 05:30 am Utu Kwanza Run

Leaders Club Kinondoni

SPORTS MARATHONS
25th The Packplast Tanzania 2024
Wed Oct 09 2024 at 07:30 am 25th The Packplast Tanzania 2024

Diamond jubilee expo center, dar-es-salaam tanzania

EXHIBITIONS
Tanzania Customer Service Week Luncheon
Wed Oct 09 2024 at 09:00 am Tanzania Customer Service Week Luncheon

Holiday Inn Dar Es Salaam City Centre

HOLIDAY
7th Dentexpo Tanzania 2024
Wed Oct 09 2024 at 10:00 am 7th Dentexpo Tanzania 2024

Diamond jubilee expo center, dar-es-salaam tanzania

EXHIBITIONS BUSINESS
25th Food & Kitchen Expo Tanzania 2024
Wed Oct 09 2024 at 10:00 am 25th Food & Kitchen Expo Tanzania 2024

Diamond jubilee expo center, dar-es-salaam tanzania

BUSINESS EXHIBITIONS
Supercharge Your Fundraising: How to Build a GIANT Investor Target List
Wed Oct 09 2024 at 10:00 am Supercharge Your Fundraising: How to Build a GIANT Investor Target List

Moved to virtual event

CHARITIES WORKSHOPS

What's Happening Next in Dar Es Salaam?

Discover Dar Es Salaam Events